Aura Reading ni Nini?
Fahamu nishati inayokuzunguka na maana ya rangi zake
Katika ulimwengu wa kiroho na parapsychology, aura ni nishati au mwanga wa kiroho unaozunguka mtu au kitu. Mara nyingi huonekana kama mwanga hafifu unaoonyesha hali ya ndani ya mtu – kimwili, kihisia na kiroho.
Je, Aura Inaweza Kuonekana?
Watu wengine wanaamini aura inaweza kuonekana kwa mazoezi au kupitia uwezo wa third eye. Pia inaweza kuhisiwa kama nishati hata kama huioni kwa macho.
Kwa baadhi ya watu, kuona aura hutokea kwa sababu za kiafya au kisaikolojia kama:
- Maumivu ya kichwa (migraines)
- Synesthesia
- Epilepsy
- Uchovu wa macho
Rangi za Aura na Maana Zake
Nguvu, shauku, hasira
Furaha, akili, ubunifu
Amani, ukweli, mawasiliano
Uponyaji, ukuaji
Kiroho, intuition
Usafi, nguvu ya juu
Rangi hizi zinaweza kubadilika kulingana na hali ya mtu, mawazo na mazingira.
Aina za Aura
Kwa mujibu wa wataalamu wa kiroho, aura ina tabaka tofauti:
- Etheric Aura – karibu na mwili
- Emotional Aura – hisia
- Mental Aura – mawazo
- Spiritual Aura – kiwango cha juu cha kiroho
Aura inaweza kuonyesha afya ya mwili na hali ya kiroho ya mtu.
Aura katika Tamaduni Tofauti
Dhima ya aura imeonekana katika tamaduni nyingi:
- India – inahusishwa na chakras na kundalini
- Ubudha – mwanga wa Buddha
- Uislamu & Biblia – mwanga wa kiroho
- Iran (Zoroastrianism) – “farr” au utukufu
Video ya Mafunzo
Contact
📧 Email: rakimsspiritual@gmail.com
🌐 Website: Rakimss.com
📲 WhatsApp: +255 788 485 293
✨ Rakims Spiritual ✨
