Mwongozo wa Kuanza Meditation ya Mwili
Hatua ya kuingia rasmi kwenye safari ya meditation
Utangulizi
Awali ya yote, kabla ya kuanza meditation ya mwili, ni muhimu kuhakikisha kuwa tayari umeshafanikiwa kumudu mkao sahihi wa meditation.
Ikiwa umefanya mazoezi ya mkao kwa siku saba mfululizo bila maumivu au usumbufu wowote, basi uko tayari kuanza safari ya meditation ya mwili.
Kuanza Safari ya Meditation
Baada ya kufikia hatua hii, unaingia rasmi katika mafunzo ya kina ya meditation ya mwili.
Hii ni hatua muhimu ambayo inahitaji umakini, nidhamu na ufuatiliaji wa maelekezo yote uliyopewa awali.
Taratibu za Mafunzo
- Kila kundi lina muda wake maalum wa kujifunza
- Kila siku inatakiwa kufuata ratiba ya mafunzo
- Epuka kuchanganya masomo ya vikundi tofauti
Nidhamu ya Kujifunza
- Kufuata maelekezo kwa umakini
- Kuheshimu muda wa mafunzo
- Kuepuka kuuliza maswali nje ya muda husika
Ujumbe Muhimu
Meditation ni safari ya hekima na utulivu wa ndani.
“This is a battle of wisdom. Let those who are wise win by showing their wisdom.”
Unataka kujiunga na mafunzo ya meditation?
Chat WhatsApp SasaShirikisha wengine 👇
Share WhatsApp