Haya ni maelezo ya mapokeo ya kiroho kuhusu dalili zinazohusishwa na kukumbwa na jini, pamoja na hatua salama za kujikinga na ishara zinazohitaji msaada wa haraka wa kitabibu.
Zifuatazo ni baadhi ya dalili za mtu anayekubwa na jini wa kutumwa au wa kupamia:
1.Kuumwa kichwa upande mmoja,maskio,meno,mgongo na kifua kuwa kinabana
2.Kuumwa tumbo chini ya kitovu
3.Moyo kwenda mbio na kushtukashtuka bila sababu
4.Mwili kuwa na ganzi maumivu makali na kizunguzungu
5.Kuumwa tumbo sana kwa kina mama na kupata damu kidogo sana isivyo kawaida au nyingi sana
6.Kujihisi vitu vinatembea mwilini
7.Kutingishika na hata kulia bila sababu za msingi
8.Kufunga hedhi bila ujauzito au hata kutopata ujazito wakati vipimo vinaonyesha hauna matatizo yyte
9.Kuota una mimba,unazaa,unanyonyesha au unabeba watoto
10.Kujaa tumbo na kuhisi kitu kinacheza tumboni bila uja uzito
11.Kuharibika mimba baada ya kuota unaingiliwa na mtu anayetisha
12.Ndoto za tendo la ndoa mara kwa mara
13.kuvurugikiwa mipango ya ndoa mara kwa mara
14.Kuhisi kama umekaa au umesimamiwa na mtu
15.Kutopenda ibada na kupenda sana maasi
16.Kuwa na hofu bila ya sababu
17.Kuota ndoto za kutisha,unazikwa,unakufa,jeneza,unatumbukia shimoni,unapaa nk
18.Kulia,kucheka,kupiga kelele au kuongea hali ya kuwa upo usingizini
19.Kuota unaongea na watu waliokufa
20.Kushtuka mara kwa mara usingizini
Hizi ni baadhi tu na chache sana za watu waliokumbwa na majini..
zingine ni advance mfano:
1: kuota unazini na mama baba au watu zaidi ya wawili mnazini,
2: kuota unaoa na kumpa mtu taraka hapo hapo na kuzini na mama au baba wa mwenza
3: kujihisi una mwili mkubwa kuliko watu wote na unawaona kama sisimizi hali inayokuja na kupotea,
4: Kuota wewe ni mdogo na wanaokuzunguka ni watu wazima na wamekubeba hali ya kuwa ni mtu mzima
Nenda hospitali mara moja ukiona haya
- Kutokwa na damu nyingi, au damu yoyote ukiwa mjamzito.
- Maumivu makali ya kifua, kushindwa kupumua au moyo kwenda mbio kwa muda mrefu.
- Kupoteza fahamu, degedege (kifafa) au kupooza ghafla kwa upande mmoja wa mwili.
- Maumivu makali ya tumbo yasiyopungua.
- Mabadiliko makubwa ya tabia, kusikia sauti, au mawazo ya kujidhuru — tafuta msaada wa daktari na watu wako wa karibu haraka.
Kinga ya kiroho ya kila siku
- Adhkar za asubuhi na jioni: kusoma Ayatul Kursiy, Suratul Ikhlas, Al-Falaq na An-Nas, kwa mujibu wa imani yako.
- Udhu na usafi: lala ukiwa msafi, na weka nyumba yako safi na yenye hewa.
- Sadaka: msaada mdogo kwa mwenye shida ni kinga ya zamani inayotajwa katika mapokeo mengi.
- Utulivu wa akili: hofu kubwa huongeza dalili. Pumua kwa utulivu, omba, na usikae peke yako.
- Mwalimu anayeaminika: kama unahitaji ruqya au msaada wa kiroho, tafuta mtaalamu anayefanya kazi kwa uwazi na asiyekuambia uache matibabu.
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Nitajuaje kama ni jini au ni ugonjwa?
Huwezi kujua kwa uhakika kwa dalili pekee. Ndiyo maana hatua ya kwanza ni vipimo vya hospitali. Vipimo vikiwa safi na dalili zikiendelea, msaada wa kiroho unaweza kuongezwa.
Je, ndoto za kujirudia zina maana?
Katika mapokeo, ndoto fulani huhusishwa na athari za kiroho. Pia zinaweza kutokana na msongo wa mawazo au uchovu. Soma: maana za alama za ndoto.
Mtu anayeniambia niache dawa za hospitali — nimwamini?
Hapana. Mtaalamu wa kweli wa kiroho hatakuambia uache matibabu ya daktari.
Unahitaji ushauri wa kiroho?
Zungumza na Rakims Spiritual kwa utulivu na usiri.
💬 Wasiliana kwa WhatsApp 🛡️ Jifunze kujikinga