MEDITATION NI NINI?
Neno meditation limetokana na neno la kilatini linaloitwa 'meditatio' likiwa na maana ya mazoezi ya mwili,akili na roho.Asili ya meditation ni dini za mashariki. Ilianzia huko Asia zaidi ya miaka 5,000 iliyopita. Kwa sasa meditation hufanywa zaidi huko magharibi (Ulaya na Marekani).
Meditation ya miaka hii (ya wakati huu), inazungumzia zaidi meditation ya kiyoga ambayo asili yake ni huko India.
Kwa ujumla, meditation inaelezwa kama njia za uzingativu katika jambo ambalo mawazo yamelinuia. Lakini pia inaweza kuelezwa kama ifuatavyo:
=>Ni ile hali wakati mawazo yanapokuwa yameyeyushwa na kufikia mahali ambapo hakuna fikra yenye kuingia tena.
=> Ni hali ya uzingativu na utulivu katika hali halisi ya wakati wa sasa hivi.
=> Ni ile hali wakati mawazo yanapokuwa yameyeyushwa na kufikia mahali ambapo hakuna fikra yenye kuingia tena.
=> Ni ile hali ambayo, uzingativu, kwa makusudi kabisa umeachwa kuelekea kwenye nguvu kubwa zaidi ( Mungu? Nguvu kuu? ).
=> Ni ile hali ya kuweka mawazo na uzingativu katika kitu kimoja, mfano sanamu ya kidini, pumzi au neno fulani unalotamka (mantra).
Je, Mantra ni Nini?
Mantra
ni sauti kubwa kiasi au neno litamkwalo kwa kurudia rudia yenye kufanya hali ya utulivu yenye kumfanya mtu aweze kurudia neno fulani.
ni sauti kubwa kiasi au neno litamkwalo kwa kurudia rudia yenye kufanya hali ya utulivu yenye kumfanya mtu aweze kurudia neno fulani.
Kuakisi mitetemo ambayo inapelekea kufikia kuchanganua nguvu fulani iliyopo ndani ya roho na kutoatiizama zaidi kwenye mantra
Tofauti ya Meditation na Sala:
Sala:
ni pale unapoongea na mungu lakini
Meditation:
ni pale unapomsikiliza mungu unaemuamini
Meditation na dini
Jambo lolote la kiroho huhusishwa sana na dini na imani za kidini,
pia meditation ipo katika kila dini kama ifuatavyo:
Kila dini ina aina yake ya uzingativu, ingawa ukiutazama kwa undani utagundua kwamba ni meditation halisi.
Waislamu
wanatumia tasbihi ambayo huwasaidia kujenga uzingativu,na pia kuendelea kuvuta nyiradi ambazo huleta utulivu wa hali ya juu sana ambapo hupelekea roho yake yote kutakatia katika kumkubali Mwenyezi mungu na kumtegemea yeye tu ambapo pia humsaidia kufumba fikra na kufumbua roho ambayo humfanyia kuweza kuaccess mambo ya kiroho ambayo hupelekea pia wakati wa kulala akapata njozi za maelekezo kutoka kwa mwenyezi mungu lakini pia huwa tunakuwa na sala za usiku wa manane (tahajudi/meditation).
Wakristo
wanatumia rozari, hii huwasaidia kujenga uzingativu. utulivu na kuzidisha ukaribu na mungu wao,
Wabudha
huwa wanafanya meditation kila siku kwani ndiyo nguzo yao kuu. Wabahai, hufanya meditation kila baada ya sala. na pia dini zingine zilizobaki nao hufanya kwa nafasi zao.

Muendelezo na mafunzo zaidi unaweza kujifunza katika group yetu ya Whatsapp kwa kuomba kupitia namba
+255 783 930 601
Rakims S.