Katika maisha hufikia sehemu mtu unajikuta kwenye mtihani mkubwa wa kipesa ama mapato na si kwa uzembe isipokuwa ni mtihani kama mitihani mingine ya kidunia.
Sote tunafahamu kwamba vipindi katika vipindi vya maisha vipo ambavyo humfanya mtu akose raha na amani hadi kufikia hatua kuamua kuwa mwizi ama kudhulumu na baadae kudhurika vibaya katika maisha yake.
Hivyo kuliko vijana wengi wenye uchu wa mafanikio kufikia hatua za kuangamia kidhalili kiasi hicho basi ni bora kupiga pigo moja takatifu na kuachana na mambo ya betting moja kwa moja.
Hivyo basi hii ni moja kati ya sababu ambazo leo inanifanya kuwafundisha mbinu ya hekima ya mafanikio ambayo ni mbinu ya kushinda michezo ya kamari katika mbinu hizi mbili nitakazoweka hapa basi ipo moja wapo ni nyepesi zaidi kwako na utaweza kuitumia na mafanikio utayaona.
Hivyo mbinu za kucheza kamari nayo pia itakuwa na playlist yake lakini ni katika kuwasihi kwangu kutokutumia mbinu hizi kama sehemu ya mapato ya mtu katika maisha yake isipokuwa utumie pale ambaye ni kuchagua kati ya kufa kula haramu usife.
Vile vile sihitaji malumbano ya kidini kwenye comment kwa maana hata video nyingi hukadiriwa kwa watu wenye umri wa miaka 21 kwenda juu hivyo mwenye kufikia hatua ya kufanya hili ni mtu mwenye kuelewa na mwenye kung'amua ama kujua zuri na baya.
Michezo ya kamari ni michezo ambayo hufanywa na wanyang'anyi wasiotumia silaha yaani asilimia kubwa ya michezo hii watu hukosa zaidi kuliko kupata na michezo hii imejaa dhulma na unyang'anyi wenye kutumia akili zaidi hivyo usipotumia akili pia utajiona mjinga baadae na mwenye kuishia pabaya.
Michezo hii ina manufaa kwa wachache na hasara kwa wengi lakini hasara zake ni kubwa kuliko manufaa.
Hivyo ukicheza umecheza mwenyewe na nafsi yako. Basi ifikie sehemu hata ukicheza ucheze kwa kupata yani hata kama umekula haramu iwe iliyonona.
Niwakumbushe tu dini zote na watu wote wenye akili timamu na waliowahi kucheza michezo hii vyote vinapinga vikali watu kujihusisha na michezo hii.
Hivyo kidini sote tutakubaliana kwamba
"Michezo hii ina manufaa kwa wachache na hasara kwa wengi, na hasara ni kubwa kuliko manufaa".
Hakuna mtu anakataa hadi kufikia hapo.
Hivyo mzozo wa dini utaishia hapo asitokee mtu na kujiona ni mtakatifu sana kuanza kuhubiri kwenye comment kwa maana teyari tumeshatoa mtizamo wa dini hapo kifupi ni matendo kama yalivyo matendo mengine ya kishetani kama vile:
- uzinzi,
- kunywa pombe,
- kupiga ramli,
- ushoga n.k.
Hivyo ukiendelea huku umeendelea na video hii basi unaendelea nayo kwa kuwa tu umeshafahamu hekima ya mambo haya na kuwa hauna tena njia isipokuwa ni hili.
Ikumbukwe vile vile kuna madhambi makubwa na madhambi madogo hivyo usifananishe;
- kucheza kamari na kuzini ama
- kucheza kamari na ulevi ama
- kucheza kamari na kupiga ramli ama
- Kucheza kamari na kuua watu ama
- kucheza kamari na kutoa mimba
- Kucheza kamari na kusema uongo ama
- Kucheza kamari na kuiba ama
- Kucheza kamari na kuloga
endelea na video hii kwa mapenzi yako na ufahamu wako mwenyewe. Na wewe ni mtu mzima mwenye Akili timamu ambaye unajua zuri na baya.
Twende pamoja.
NJIA YA KWANZA:
Hii ni spell rahisi itakayo kufanya ushinde michezo mbalimbali ya kamari.
Elewa ya kwamba Ushindi wa kamari sio tu unategemea bahati yako bali pia unategemea uwezo wako wa kuunganisha nguvu yako chanya kuweza kupata matokeo chanya na jinsi unavyoweza kutumia nguvu hii kubadili bahati yako kutoka mbaya na kuwa nzuri.
kuna watu baadhi wakiingia kucheza kamari hushinda Jackpot lakini ukiwaangalia ni watu wa kawaida tu kama wewe hawana tofauti isipokuwa wanakuwa tu wamechannel vizuri nguvu zao za kufanya mambo kuwa chanya hivyo hata wewe pia unaweza,
kitu unachotakiwa kufanya ni kuchannel nguvu yako ili uweze kupata kuaccess ya sehemu ya roho yako ambayo inaweza kuona ushindi ulipo yaani machale ya ushindi,
hivyo kitu cha kwanza ukisha channel hivyo basi utaona ni mchezo gani ambao ukicheza utashinda kumbuka ya kwamba sio watu wote wanaweza kushinda mpira wa miguu bali wengine hutakiwa kuwa mashabiki tu na kushindania michezo mingine.
Maisha sio rahisi na ili kuweza kuyaishi basi unatakiwa upate pesa kwanza za kukutosha na baada ya hapo ndio uweze kufanya mengine yaliyobaki
na wewe pia unaweza kushinda bahati nasibu ikiwa tu utafanya spell ambayo ipo vema na itakayoendana na wewe.
Kila mtu ana asili ya spell zinazomfaa hususani;
- watu wenye nyota za moto ni wenye kufaa na spell za moto kama kuchoma,
- watu wenye nyota za maji hufaa spell za maji kama kuoga
- watu wenye nyota za upepo hufaa spell za upepo kama kutundika
- watu wenye nyota za udongo hufaa spell za udongo kama kuzika.
pia kuna watu hufanya spell hizi zishindwe kufanya kazi kwa sababu mtu hajiamini wala hakubali ushindi wake na wala hata akishinda inakuwa hana raha wala haoni kuwa imetosha.
KUMBUKA:
Hivyo kama hujui taratibu basi wape watu wenye professional zao wakufanyie mfano tafuta mganga mganga hapo mtaani kwenu mwambie nataka unisimamie nafanya hii kama ipo sawa ikienda sawa nakulipa.
JINSI YA KUFANYA NJIA YA KWANZA:
Utatakiwa ufanye usiku wakati unaenda kulala, chukua bakuli la maji au chupa ya maji ya rose water, katika hilo jagi au chupa au kopo weka shilingi nyingi nyingi, halafu ziguse kwa kuingiza mkono kwenye maji hayo.
"MORA PONITA PAISIE JOYE" mara 200 kisha toa mkono wako na uuweke kwenye paji lako la uso yaani kwenye thrid eye kama umeangalia video zangu za chakra utakuwa unaelewa ili maji yale yaguse eneo hilo
Nini maana ya maneno haya?
Ukimaliza nenda kalale utaota ndoto mtu anakufundisha mbinu zote za mchezo wowote wa kamali utakao muuliza humo ndotoni.
Hii spell kwa uhakika wa kutoa pesa ni chini ya 2 hadi 3 milioni hivyo usifanye kwa kupiga zaidi ya pesa hizo utajisumbua tu
Baadhi ya majaribio ni hapo chini
- Watacheza wapi?
- Timu mbili zitavaa nguo rangi gani?
- Nani atakuwa nyumbani?
- Saa ngapi?
- Juma ngapi?
- Tarehe ngapi?
- Mchana au usiku?
- Pande watakazo kaa?
- Kwa betting ya live nani kaanza na details zote za hapo juu?
Wasiliana nasi
Ikiwa ni mwenye kupendezewa na makala hizi, basi jihisi huru kuendelea kutufuatilia kupitia email lakini pia kama unahitaji mawasiliano yetu, tunapatikana kwa ajili ya misaada ya mfano wa makala hizi.
Unaweza kutupata kwa kupitia Email, nambari za simu,kupitia fomu ya mawasiliano katika tovuti yetu. Msaada wa kirafiki zaidi unatolewa na team yetu ya huduma kwa wateja na kujibu maswali yoyote ambayo unaweza kuwa nayo,
Ikiwa una maswali kuhusu makala zetu pia unaweza kuacha kwenye comment katika makala husika na kama ni huduma ya msaada wa tiba za kiroho au ushauri ama unahitaji kuagiza ama una suala lolote lingine basi tupo kwa ajili ya kutoa msaada pia.
Usisite kuwasiliana nasi kwa hekima za mawasiliano nifuraha yetu kusikia mahitaji ya wateja ama rafiki wa tovuti zetu za unajimu na rakimsspiritual na tunatoa huduma nzuri za kumridhisha mwenye shida ikiwa tu atakidhi vigezo vya kuwa mteja ama rafiki wa tovuti hizi asante.
Na kwa maswali ya dharula kuhusiana na makala zetu kwa members pekee; Jihisi huru kututafuta masaa 24 ya week kupitia
Email: Rakimsspiritual@gmail.com
WhatsApp: +255 783 930 601